Hatimaye nimekutana LIVE na mwana-JF

Hatimaye nimekutana LIVE na mwana-JF

Iiigghhh Bangosha, sema kweliii....!!😅😅😅😅

Tulivyoonana nilikulavuu au nilikunyambaa....😂😂😂😂😂😂.

Basi irudiweeee tuonane tena jamaniii iiiggghhh....😁😁😁😁.
Sawaaa. Nitakuwa tena hapo December.
 
Katika pitapita zangu leo jioni maeneo fulani ya kujidai nikakutana live na mwanajf mashuhuri sana hapa kutokana michango yake ya ajabu kwenye nyuzi tofauti tofauti. Amenichangamkia sana sikuwahi kufikiria wanajf pia wana hulka tofauti na ID zao za hapa. Long life JF. Nimeenjoy leo
Tulikuwa na wakati mzuri sana ila sikujua kama utalileta huku😀
 
Iiigghhh Bangosha, sema kweliii....!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tulivyoonana nilikulavuu au nilikunyambaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Basi irudiweeee tuonane tena jamaniii iiiggghhh....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora kuonana na kujuana, siku ukifa atoe Taarifa humu
 
Back
Top Bottom