Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.

Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.

Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.

Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.

Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
 
Aseee nashindwaga epuka BAN sijui mimi nyota yangu ni ipi

Nimejiunga JF nkiwa na max ila rafiki angu huyu hata hapigwi BAN

Ki ukweli nanuka BAN juu mpk Chini
 
Ulibadilisha id mara ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…