Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hongera sana, hata mimi ngoja nijipongeze, six yrs bila ban wala kubadilisha ID huku nikiwa najirusha pm[emoji23] sio kazi rahisi.
 
kukaa jf miaka 5 bila ban ni sawa na kukaa miaka 5 katika ndoa bila kuchepuka big up sana mdada!
Asanteee
Hongera sana, hata mimi ngoja nijipongeze, six yrs bila ban wala kubadilisha ID huku nikiwa najirusha pm[emoji23] sio kazi rahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom