Hahahahhaa resources huwa zinakwamisha sana.Nakusanya resources dogo, siyo kila mzigo unauvamia, lazima ujipange.
You did for really, if you can recall I complimented the way you put your write-up with strong points on top, easy language and nice arrangement.
And then, there is that way you hold on your arguments no matter what. It tells a lot about someone.
Mimi nimemaliza miaka nane bila ban mkuuTarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Yeah I remember the compliment and I thanked you, but some people came and told me that the compliment was somehow sarcastic.
Hahahahhaa resources huwa zinakwamisha sana.
Lakini bora wewe unajua umuhimu wa resources wengine balaa tupu.
we endelea kuni pump tuu...Acha uoga
Aisee id yako nyingine ni ipi??Mimi nimemaliza miaka nane bila ban mkuu
Kwanini mkuu?Aisee id yako nyingine ni ipi??
Ofcourse you are right, I also thought the same but I just decided to let it go.Everybody has his/her way on how he/she interprets things depending on his framework of interpretation, and this is affected with education, surrounding environment, culture, upbringing, exposure and experience.
Mind you, on that thread people were trying to find ways of putting you down intimidating you, thus why they interpreted my message in the way that favors their sides.
Hahahaha mkuu 36 posts unataka upande rank kweli?? JF kupanda rank hakutokani na muda uliokuwepo humu bali kunatokana na idadi ya maoni uliyochangia humu mimi nimejiunga mwaka huu huu ila tayari ni expert member siyo kwa sababu ya muda niliokuwepo humu bali ni kwa sababu ya idadi ya maoni niliyochangia humu!!Mi nina miaka mitano, ila bado member dah!!
Sababu hiyo unayoitumia ina miaka sita sasa nilikuwa nataka niijue hiyo nyingine uliyoizungumzia ambayo ina miaka naneKwanini mkuu?
wananchokoza mama,hata sio mimiUtakua mkorofi mkuu
Sasa hivi nikitiwa ban naweza stahimili. Kuna kipindi nilikua teja kabisa wa JF
Ofcourse you are right, I also thought the same but I just decided to let it go.
Thank you so much, now I believe you and I appreciate that a lot.Madame, I am one person who appreciate knowledge.
And you being that knowledgeable, there is no way I can be sarcastic to you.
I respect you, I respect how you present your arguments, and you being independent minded is a plus.
MmhhHawa wajinga wakinila BAN natumia acc nyingine yenye maana nyoka.