Unastahili kujipongeza mkuu
Sijambo shikamoo babu
Marahabaaa hujambo?Hahaha, shikamoo na wewe.
Marahabaaa hujambo?
Sijambo sana sana.
Kalale ukue sasa
Ngoja nije tusome woteHahaha, bado sana. Kuna kitabu nimekianza, nahisi kitanichelewesha.
Huo sio ukorofi mwenza, ni ushirikiano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ndo ukorofi mwenza
Ngoja nije tusome wote
Mwandiko wako kama wa kiume hivi...
Halafu mwezi wa kuja huku unakaribia ujue.
Hebu subiri kwanza
Nimechanganya madesa, siyo wewe.
Hahahaha ushapiga vyombo
Sijagusa hata tone leo, mpaka Ijumaa na Jumamosi ijayo.
Unaruhusiwa kunidanganya hata hivyo endelea kunidanganya