Checnoris
Senior Member
- Aug 21, 2022
- 123
- 269
Huyu ni mke wa mtu.
Nilikuwa ninaomba dua niachane naye, ikashindikana, nisi muwaze ikashindikana, nilimtumia pesa na zawadi kibao.
Jf ilinishauri sana kiachana naye, nilijitahisi sana. Nikajijuta siku Moja nikaipiga shoo moja ya hovyo sana. Nilikuwa dhaifu asna na nikijua na yeye hakuifurahia show ya nusu saa tu. Ile show ilikuwa cornerstone. Nilichomoka kihisia, nilimuondoa mawazoni, nikakaa kimyaaa.
Siku moja akanipigia, niliona ananitafuta mchana kweupeee. Nikajiongeza kwamba nilipata tabu sana kukuondoa kwenye akili yangu. Leo siwez kukubali na sikupokea simu yake. Anapiga kila siku.
Ni mwenyewe kila siku nasema "Hatimaye nimemsahau nilikuwa nikimpigia au ku mu sms mara 10 Kwa wiki. Nimetulia namshukuru Mungu," lakini yeye bado anasumbua.