Hatimaye nimeoa 15/10/2026

Hatimaye nimeoa 15/10/2026

Umefanya chaguo lililo jema mkuu. Ukikwama kiuchumi nipo tayari kukuchangia. Yaani umecheza kama Pele kuoa bikra na kuachana na hawa wadangaji na singo mamaz.
 
Habarin wakubwa
Nmeoa yule Binti ambaye nlitafutiwa na dada yangu
Nimeionja Kwa mara ya kwanza tokea uchumba Binti ni bikra bikra bikra
Ni furaha yangu kwanza nmepata mke wangu na sio wetu yaan nmemuanza mwenyewe sio wale wake za watu sis tunapewa majukumu ya kutunza na kuhudumia .

Ukioa bikra Kuna rahaaaaaaa changamoto kweny maisha zipo

Mrejesho ni huo wakubwa wangu
Kongole sana mkuu. Nikikua nataka niwe kama wewe
 
Hongera sana,
Waliooa used wameshaanza kutoa tabiri za kichawi😅
Basi sawa...
 
Back
Top Bottom