Hatimaye nimeoa 15/10/2026

Umefanya chaguo lililo jema mkuu. Ukikwama kiuchumi nipo tayari kukuchangia. Yaani umecheza kama Pele kuoa bikra na kuachana na hawa wadangaji na singo mamaz.
 
Kongole sana mkuu. Nikikua nataka niwe kama wewe
 
Hongera sana,
Waliooa used wameshaanza kutoa tabiri za kichawi😅
Basi sawa...
 
kwanini uionje badala ya kuichakata kisawasawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…