The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
- Thread starter
-
- #41
Mimi natumia android 10 one UI 2.1. Tulishahama 2.0 kwenda 2.1 ila ni update ya mwezi wa 3.Utahama kutoka One UI version 1.0 to One UI version 2.0....kuna maboresho ya optical fingerprint scanner...performance...smoothness...gestures za android 10...kuna settings utakuta zimebadilika n.k....hizo ni baadhi ya mabadiliko ila hamna major changes kama zile za kutoka Oreo to Pie.
Samsung Galaxy[emoji93]
Vipi nikifanya factory reset now baada ta kupata android 10?Hicho ndio kinatokea kwa watu wengi wanao update simu zao,
Kitu ambacho nawashauri,
Kwanza kumbuka this is a MAJOR UPDATE not just a minor update, it's moving from one OS version to another, ni vizuri sana kabla ya ku upgrade ufanye factory reset na baada pia ili kuondoa useless files left by previous OS.
Mara nyingi ukifuata hizi taratb ni ngumu sana kukutana na hizo shida.
Nashauri ambao wame update na wanakutana na hizi shida jarb factory reset.
Hicho ndio kinatokea kwa watu wengi wanao update simu zao,
Kitu ambacho nawashauri,
Kwanza kumbuka this is a MAJOR UPDATE not just a minor update, it's moving from one OS version to another, ni vizuri sana kabla ya ku upgrade ufanye factory reset na baada pia ili kuondoa useless files left by previous OS.
Mara nyingi ukifuata hizi taratb ni ngumu sana kukutana na hizo shida.
Nashauri ambao wame update na wanakutana na hizi shida jarb factory reset.
Yes fanya, japo kabla ya ku update hukufanya ila fanya after.Vipi nikifanya factory reset now baada ta kupata android 10?
Shukran mkuuYes fanya, japo kabla ya ku update hukufanya ila fanya after.
Ni kweli nimeshaona hili.Mimi natumia android 10 one UI 2.1. Tulishahama 2.0 kwenda 2.1 ila ni update ya mwezi wa 3.
Tayari wameshapata updates za android 10...cheki kwenye settings zako!
Unaangaliaje mm ni mgeni wa hizi simu za android 9Tayari wameshapata updates za android 10...cheki kwenye settings zako!
Samsung Galaxy[emoji93]
Nenda....Settings[emoji3591] Software update [emoji3591] Download and install....Then utapata feedbakcs apo.Unaangaliaje mm ni mgeni wa hizi simu za android 9
Inaonekana kuna kipele kina washa sana na hujapata mkunajiUmezoea tecno za laki 2, utajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee? Stay in your lane idiot.
Kwa kukusaidia taahira kama wewe ambae hata ku-google hujui, soma hapa wameandika SIMView attachment 1290402
Yap..washatoa
Rafiki huwa unapotelea wapi?Yap..washatoa
Nipogo nazoom kimya kimya tuRafiki huwa unapotelea wapi?