Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

Utahama kutoka One UI version 1.0 to One UI version 2.0....kuna maboresho ya optical fingerprint scanner...performance...smoothness...gestures za android 10...kuna settings utakuta zimebadilika n.k....hizo ni baadhi ya mabadiliko ila hamna major changes kama zile za kutoka Oreo to Pie.

Samsung Galaxy[emoji93]
Mimi natumia android 10 one UI 2.1. Tulishahama 2.0 kwenda 2.1 ila ni update ya mwezi wa 3.
 
Hicho ndio kinatokea kwa watu wengi wanao update simu zao,
Kitu ambacho nawashauri,
Kwanza kumbuka this is a MAJOR UPDATE not just a minor update, it's moving from one OS version to another, ni vizuri sana kabla ya ku upgrade ufanye factory reset na baada pia ili kuondoa useless files left by previous OS.
Mara nyingi ukifuata hizi taratb ni ngumu sana kukutana na hizo shida.

Nashauri ambao wame update na wanakutana na hizi shida jarb factory reset.
Vipi nikifanya factory reset now baada ta kupata android 10?
 
Niliona hii kitu sehem wanasema hivo...sasa nikifikiria gemu langu la pubg daaaah[emoji1787][emoji1787]
Hicho ndio kinatokea kwa watu wengi wanao update simu zao,
Kitu ambacho nawashauri,
Kwanza kumbuka this is a MAJOR UPDATE not just a minor update, it's moving from one OS version to another, ni vizuri sana kabla ya ku upgrade ufanye factory reset na baada pia ili kuondoa useless files left by previous OS.
Mara nyingi ukifuata hizi taratb ni ngumu sana kukutana na hizo shida.

Nashauri ambao wame update na wanakutana na hizi shida jarb factory reset.
 
Mimi nimeupdate mwezi huu wa nne kwenda android ten.
 
Back
Top Bottom