Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

20200413221736309.jpeg
20200413221725586.jpeg
 
Dah mimi na wiki sasa nime ipata ila nasubiri niiungie MB zake special[emoji23]GB 2

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Mlio update naomba mtupe utofauti wakuu mimi nimepata hiyo notification ya ku update kwenda 10 but nipo porini network kimeo mpaka niwe town but kabla sija update natamani kujua kitu gani kizuri kimeongezwa .natumia A70
 
Utahama kutoka One UI version 1.0 to One UI version 2.0....kuna maboresho ya optical fingerprint scanner...performance...smoothness...gestures za android 10...kuna settings utakuta zimebadilika n.k....hizo ni baadhi ya mabadiliko ila hamna major changes kama zile za kutoka Oreo to Pie.

Samsung Galaxy[emoji93]
 
Mlio update naomba mtupe utofauti wakuu mimi nimepata hiyo notification ya ku update kwenda 10 but nipo porini network kimeo mpaka niwe town but kabla sija update natamani kujua kitu gani kizuri kimeongezwa .natumia A70
Nilitaka nikwambie nenda YouTube.....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nasubiri mirejesho ya kutosha..
Update nyingi za MWANZO zinaleta Matokeo mabaya kwenye battery life..

Hao waliokua wanakazania hamna s-series zenye laini mbili, wanaishi wapi?
Battery life imekua na changamoto,fast charge aiko faster kama awali na charge pia aikawii kuisha,tena sometimes simu inapata joto kali flan hivi
 
Battery life imekua na changamoto,fast charge aiko faster kama awali na charge pia aikawii kuisha,tena sometimes simu inapata joto kali flan hivi
Hicho ndio kinatokea kwa watu wengi wanao update simu zao,
Kitu ambacho nawashauri,
Kwanza kumbuka this is a MAJOR UPDATE not just a minor update, it's moving from one OS version to another, ni vizuri sana kabla ya ku upgrade ufanye factory reset na baada pia ili kuondoa useless files left by previous OS.
Mara nyingi ukifuata hizi taratb ni ngumu sana kukutana na hizo shida.

Nashauri ambao wame update na wanakutana na hizi shida jarb factory reset.
 
Back
Top Bottom