Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Nimekuuliza swali la mtego tu haya je uliielewa? Inaonekana unapenda ubishi hebu ngoja nipite majukwaa mengine.

This is not a legitimate question.Mkuu jibu sijaona hiyo topic yako dickhead
 
Mimi nina chakula cha kuongeza nguvu za kiume sh 20000 tuu anayehitaji ani pm.Unachanganya ktk chai au maji moto
 
Mi nilijua yeye alikuwa na tatizo sasa amepata dawa iliyotatua tatizo lake.....KUMBE YEYE ANAUZA.....YAANI NI MGANGA WA KIENYEJI.?
 
Acheni kufuata short cut. Kula vizuri, fanya mazoezi, epukana na stress, lala vuzuri and you will be all fine. Au siyo miss chagga?
 


Hauna za kupunguza mkuu,,maana kwangu zimezidi sana hizo nguvu za kiume
 
Usiwaite vilaza, nchi ya kwanza kuhamasisha matumizi ya dawa za asili ni Marekani sasa sijuwi huko nako ni vilaza? na usiongee tu hayajakukuta.

Tz wengi vilaza wache waliwe hela zao
 
Itakusaidia, ila itabidi utumie dozi mara 2 kama mwezi mzima hivi, nitakuongezea na nyingine. Namba hiyo hapo au njoo inbox
Ngoka 11 na Mkuyati zilishagonga mwamba, sasa na yako nisijekupoteza pesa mkuu, 50 ni nyingi sana kibongobongo, fanya nipe vouch dose, ikikubali nakulipa then nakushushia bonge la ushuhuda hapa mpaka utawakimbia wateja!:A S wink:
 
Hakuna shida mimi na wewe tena? namba yangu unayo siku nyingi njoo uchukuwe bure tu utanipa majibu.

Ngoka 11 na Mkuyati zilishagonga mwamba, sasa na yako nisijekupoteza pesa mkuu, 50 ni nyingi sana kibongobongo, fanya nipe vouch dose, ikikubali nakulipa then nakushushia bonge la ushuhuda hapa mpaka utawakimbia wateja!:A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…