Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 166
Katika historia yangu kuna siku nilishawahi kupiga 7 na sikufa na kesho yake nilienda kazini kama kawaida. Ninaposema bao 5 kwa single shot simaanishi lazima uende 5, unaweza ukaenda 5 siku moja moja siku zingine hata ukipiga 1 na ukajisikia wote wawili mmeridhika unalala mkuu wala hakuna atakayekuuliza.
Mwee mweee mwee!!
na siku dawa imeisha sasa,huna pesa tena ya kununulia hizo booster! Je, Azakali itasimama tena na kuweza kusimamia shoo??
Au ndo basi tena Jongoo halitapanda mtungi!!
Mmmh Hapa naona kila nikiweka kidole,kinawaka moto!