Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

kwaiyo iyo dawa yako inaplay both?kwa wanawake na wanaume? je inaleta ashki kwa wanawake?
 
hizi dawa ambazo ni unapproved-expensive-artificial-ready made herbal huwa zinanipa shaka esp. pale ambapo wanatutamanisha desperate people
 
mkuu mi nataka ya kupunguza hamu ya sex maana mke wangu anajifanya hana hamu nataka tuwe balance
 
Hiyo ya kupunguza sina mkuu, unachoweza kufanya ni kumtafutia ya kumuongezea yeye au weka mafuta ya taa kwenye chakula unachokula but do this last one under your own risk

mkuu mi nataka ya kupunguza hamu ya sex maana mke wangu anajifanya hana hamu nataka tuwe balance
 
mwalimu mbona unaingia deep kiasi hicho?
 
We dawa yako mbona bei rahisi ina ubora kweli? Mwenzio mzizi mkavu anauza laki 5 we una uza 10% yake.
 
hakuna dawa zaidi ya chakula bora na mazoezi kaka zangu msifanye miili yenu ya majaribio mtajuta watu wako kibiashara tu
 
Nimekupenda sana mkuu, nikashangaa sana wanaodai eti hii ni bei kubwa!. Mimi naitoa tu hapo Mbeya kumbe yeye alikuwa anaitoa Ulaya nadhani ndiyo sababu ya hiyo bei.

We dawa yako mbona bei rahisi ina ubora kweli? Mwenzio mzizi mkavu anauza laki 5 we una uza 10% yake.

Mkuu, huu ni mti tu hauna madhara yoyote hasi hata ukitumia mwaka mzima hakuna athari zozote mbaya utakazozipata. Dawa zenye hayo madhara unayoyasema ni zile zinazoongezwa makemikali lakini siyo mti.

hakuna dawa zaidi ya chakula bora na mazoezi kaka zangu msifanye miili yenu ya majaribio mtajuta watu wako kibiashara tu

Piga simu 0769142586 au njoo inbox au niandikie email: info@fadhilipaulo.com

Mkuu hyo inapatikana wapi kwa Dar??
 
tumia baadae_mzigo@ >>ufe kabisaaa!/stp huipa nguvu engine kwa muda lkn mara huachapo kuitumia gari hushindwa kupanda hata kuti la mnazi
 
Siyo kweli mkuu. Dawa zenye hayo madhara unayoyasema ni zile zinazoongezwa makemikali lakini siyo mti.

tumia baadae_mzigo@ >>ufe kabisaaa!/stp huipa nguvu engine kwa muda lkn mara huachapo kuitumia gari hushindwa kupanda hata kuti la mnazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…