Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Pole sana mkuu, vipi ulishawahi kutapeliwa nini?

Akili yangu sio ndogo kiasi cha kuweza kutapeliwa.... Nimeona pale uliposema kuhusu kuweka mafuta ya taa kwenye chakula ndipo nikajua wewe ni kanjanja unayetaka kutapeli watu na huo uchafu wako unaouuza elfu hamsini..
 
ha ha ha ha ha! umenichekesha sana, kwani mkuu hukusoma boarding? kama ulisoma boarding hayo ya mafuta ya taa kwenye chakula lazima ulikutana nayo. Wewe itumie na ulete feedback usilete tu maneno machafu na makali pasipo uthibitisho. Usikalili tu

Hapo umedhibitisha ufinyu wa akili yako. Kwa hyo ulimshauri jamaa aweke mafuta kwenye chakula ili mkewe apate hamu hyo ya mapenzi? Bado nasisitiza huu ukanjanja mnaoufanya ni hatari kwa afya za watz.
 
Ufinyu wa akili utakuwa nao wewe. Nionyeshe nilipomshauri jamaa aweke mafuta kwenye chakula ili mkewe apate hamu hyo ya mapenzi

Hapo umedhibitisha ufinyu wa akili yako. Kwa hyo ulimshauri jamaa aweke mafuta kwenye chakula ili mkewe apate hamu hyo ya mapenzi? Bado nasisitiza huu ukanjanja mnaoufanya ni hatari kwa afya za watz.
 
Hiyo ya kupunguza sina mkuu, unachoweza kufanya ni kumtafutia ya kumuongezea yeye au weka mafuta ya taa kwenye chakula unachokula but do this last one under your own risk
Soma ukanjanja wako halafu ufafanue kitaalamu kuhusu hayo mafuta
 
Ndiyo maana nikasema huo ufinyu wa akili utakuwa nao wewe ila unataka kulazimisha niwe nao mimi wakati kiuhalisia unao wewe. Hebu angalia sentenzi hii: ''Unachoweza kufanya ni kumtafutia ya kumuongezea yeye au weka mafuta ya taa kwenye chakula unachokula but do this last one under your own risk''

Je hiyo sentenzi ipo sawa na madai yako? au umeamka na za jana kichwani? unaelewa nini japo kwa neno tu lisemalo ''Under your own risk?.

Soma ukanjanja wako halafu ufafanue kitaalamu kuhusu hayo mafuta
 
Elezea hilo la mafuta ya taa kitaalamu.
 
Nielezee kitaalamu wakati umeshaniita nina ufinyu wa akili? sasa huo utaalamu wa kuielezea nitautoa wapi wakati tayari nina ufinyu wa akili?. Na kwanini umeng'ang'ana na hiyo hoja mfilisi ambayo nimeshaisemea ''do under your own risk?''.

Leta hoja usilete vioja

Elezea hilo la mafuta ya taa kitaalamu.
 
Samahani, kwa yeyote anayeweza kujibu, anijibu, lengo la hivi dawa za kuongeza nguvu za kiume ni kumfanya mvulana afike ukingoni au msichana afike ukingoni? Naamini ata bao mbili zatosha kumpagawisha mtu, suala la msingi ni kujua ere.ction maintenance techniques, hamna haja ya dawa, wala pumps, wala gadgets!
 
Soma ukanjanja wako halafu ufafanue kitaalamu kuhusu hayo mafuta

hahaha mkuu huyu jamaa hajielewi kwenye post yake kasema kua iyo dawa PIA NI NZURI KUTUMIKA KWA MWANAMKE KWANI INALETA SANA NYE.GE KWA WANAWAKE pia hapo hapô kaleta habari za kutumia mafuta ya taa ila for your own risk means kwamba hajui asemalo anabahatisha hakuna dawa ya hili jambo zaidi ya CHAKULA BORA NA MAZOEZI TU,MBALI NA HAPO NI KUJIONGOZEA MADHARA TU siku zote wajinga ndio waliwao!!
 
Usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza, unamshabikia huyo mwenzio wakati unaona wazi yamemshinda. Labda nikuongezee uelewa kidogo; Kila ugonjwa unaweza kutibika kwa kula chakula bora na mazoezi ila hospitali pia zipo.

Mara 5 kwa single shot????!!!! Ela hatutauana? Kiafya je, hujimalizi nguvu? Haya kazi kwao watakao.

Katika historia yangu kuna siku nilishawahi kupiga 7 na sikufa na kesho yake nilienda kazini kama kawaida. Ninaposema bao 5 kwa single shot simaanishi lazima uende 5, unaweza ukaenda 5 siku moja moja siku zingine hata ukipiga 1 na ukajisikia wote wawili mmeridhika unalala mkuu wala hakuna atakayekuuliza.

Mara 5 kwa single shot????!!!! Ela hatutauana? Kiafya je, hujimalizi nguvu? Haya kazi kwao watakao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…