Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Mind yako ikitulia na kila unachofanya kitakuwa na ufanisi mkubwa.
 
dawa ya nguvu za kiume kula vyakula asilia,dona mamboga ya majani,achana na nyama nyekundu kula samak, mafuta alizet uone
 
Dah! Hivi hili ni tatizo kweli kwa watu!! Poleni, 'dawa' pekee mi nitumiayo ni kula ndizi mbivu na mazoezi, na nakunywa sana maji, basi!! Stamina, kujiamini na kuwa mbunifu nafikiri ndo dawa!! Napiga gemu freshi sana. Ila kama havifanyi kazi kwenu basi nawashauri mumcheki huyu jamaa awasaidie maana hamna kitu kibaya kama demu kakushinda gemu uwanjani, haji tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…