Hatimaye nimepata kazi

Hatimaye nimepata kazi

Kitaabalaa

Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
69
Reaction score
148
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
 
😂😂😂😂😂
Kwa hiyo mkuu ku sex kunaleta magundu na mikosi katika utafutaji ajira.
Daah acha niache kugegenda kama mwezi hivi alaf niingie kusaka ajira ndio maana sipati kazi na degree yangu ya Engineering 😁
Jaribu mkuu
 
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules

Hongera kwa kupata kazi na hongera kwa kuikimbia zinaa
Kati ya matendo yanayoturudisha nyuma na kutuchelewesha ni zinaa. Mungu atusaidie🙏

1 Wakorinto 6:18-20​

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?

Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu
 
7-40 days bila sex..unawezaje ebu nifundishe mana ikifika wiki sijapata uterezi hua naugua.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kupata kazi na hongera kwa kuikimbia zinaa
Kati ya matendo yanayoturudisha nyuma na kutuchelewesha ni zinaa. Mungu atusaidie🙏

1 Wakorinto 6:18-20​

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?

Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu
Usituletee mahubiri humu maana sio kila mtu mkristo.
 
Hongera kwa kupata kazi na hongera kwa kuikimbia zinaa
Kati ya matendo yanayoturudisha nyuma na kutuchelewesha ni zinaa. Mungu atusaidie🙏

1 Wakorinto 6:18-20​

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?

Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu
Amen mama D...
 
Back
Top Bottom