Kitaabalaa
Member
- Aug 13, 2019
- 69
- 148
- Thread starter
- #21
Haahaaa siwez kusema kwakweli
UMEPATA KAZI GANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMEPATA KAZI GANI
Vipi kuhusu pombe, tunywe?Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
Usituletee mahubiri humu maana sio kila mtu mkristo.
Hivyo tu ilitosha sasa wakorintho wakazi gani humu?😁Sijakuletea wewe, kama imekuchoma pita kimyakimya🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mimi nimempostia aliyeonyesha furaha kubwa katika kuikimbia zinaa na faida aliyopata
Kama wewe unavyopenda zinaa sio lazima kila usichopenda wewe na wengine wakichukie
Mungu anisamehe mkosefu mimi. Amina.Hongera kwa kupata kazi na hongera kwa kuikimbia zinaa
Kati ya matendo yanayoturudisha nyuma na kutuchelewesha ni zinaa. Mungu atusaidie[emoji120]
1 Wakorinto 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?
Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu
Mkuu una akili nyingi sana,maana kuna vijidada vinajifanya vilokole wakati tunavitia miti ya kutosha alaf vinakuja kuongopea hapa kwa kujifanya wema sana kwa kuleta maandiko😁😁😁 vinatia hasira yaan.Hongera, lakini ingetosha kusema tu watu wajiepushe na kumuasi mungu, maana yapo mengi ambayo mtu anaweza akayafanya yanayo mchukiza mungu sio zinaa pekeyake.
Hivyo tu ilitosha sasa wakorintho wakazi gani humu?😁
Na ndio maana nikasema sio kila mtu atafurahishwa na mistari ya biblia kwa kuwa sio kila mtu ni muumin wa imani ya kikristo. Make ukizingatia mleta mada huijui imani yake mkristo au mwislamu.
Mungu anisamehe mkosefu mimi. Amina.
Sijui umeenda ku download wapi , hakuna aya hiyo katika Qur'anKumbe ni wakorinto wamekuchoma eeeeh💊💉
Usichukie ila Jikaze uache maana hata Qur'an inakataza🏃♀️🏃♀️
Zinaa ni maasi makubwa na ni uchafu uliovuka mipaka, sawasawa ikiwa ndani ya ndoa au kabla ya ndoa.
الزنا من كبائر الذنوب وأشدها فحشا، سواء أكان وقوعه بعد الزواج أم قبله.
Mungu atusaidie sote
Sijui umeenda ku download wapi , hakuna aya hiyo katika Qur'an
Vp kwanza umeolewa 😊😁
Njoo Dm bhas tuongee 😂😂😂😂😂😂😂
Njoo Dm bhas tuongee 😂
Sijui umeenda ku download wapi , hakuna aya hiyo katika Qur'an
Vp kwanza umeolewa 😊😁
Mie nakutaka ww😂😂Ndio, nimeolewa Moment of silent
Na wewe oa buana, au uje nyumbani nikuozeshe mmoja wa binti zangu
Mie nakutaka ww😂😂
Mie napenda wanawake watu wazima maana wanakuwaga na ngozi laini alaf watamu balaa 😂Kha! Nilishavuka hako kastage
Mie napenda wanawake watu wazima maana wanakuwaga na ngozi laini alaf watamu balaa 😂