Kitaabalaa
Member
- Aug 13, 2019
- 69
- 148
Hayo Ni kanuni za kuongeza nguvu upande wa kirohoCongratulations me bado natafuta Ila kwa mashart hayo sjui Kama nitaweza
Lakini puchu mnapiga...na manii mnatoaMbona tulikua tunakaa bodingi sikuli hadi miezi mi 4 tunafunga na kuomba hatu seksi lakini mbona tulikua tuna feli
Jaribu mkuuššššš
Kwa hiyo mkuu ku sex kunaleta magundu na mikosi katika utafutaji ajira.
Daah acha niache kugegenda kama mwezi hivi alaf niingie kusaka ajira ndio maana sipati kazi na degree yangu ya Engineering š
Lakini puchu mnapiga...na manii mnatoa
Msi sex ndani ya siku 7-40
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
7-40 days bila sex..unawezaje ebu nifundishe mana ikifika wiki sijapata uterezi hua naugua.Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
Niuzie hiyo ps.Shida ni kwamba nina vitu viwili ninavyovitumia kunitoa stress. Play Station na sex.
Play Station naiuza.
What follows? Kuna kupata kazi kweli?
Usituletee mahubiri humu maana sio kila mtu mkristo.Hongera kwa kupata kazi na hongera kwa kuikimbia zinaa
Kati ya matendo yanayoturudisha nyuma na kutuchelewesha ni zinaa. Mungu atusaidieš
1 Wakorinto 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?
Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu
Ni kua busy na mambo mingine ...na kubwa Zaid kuamua7-40 days bila sex..unawezaje ebu nifundishe mana ikifika wiki sijapata uterezi hua naugua.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mama D...Hongera kwa kupata kazi na hongera kwa kuikimbia zinaa
Kati ya matendo yanayoturudisha nyuma na kutuchelewesha ni zinaa. Mungu atusaidieš
1 Wakorinto 6:18-20
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?
Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu