Hatimaye nimepata kazi

Vipi kuhusu pombe, tunywe?
 
Usituletee mahubiri humu maana sio kila mtu mkristo.

Sijakuletea wewe, kama imekuchoma pita kimyakimyaπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Mimi nimempostia aliyeonyesha furaha kubwa katika kuikimbia zinaa na faida aliyopata

Kama wewe unavyopenda zinaa sio lazima kila usichopenda wewe na wengine wakichukie
 
Hivyo tu ilitosha sasa wakorintho wakazi gani humu?😁
Na ndio maana nikasema sio kila mtu atafurahishwa na mistari ya biblia kwa kuwa sio kila mtu ni muumin wa imani ya kikristo. Make ukizingatia mleta mada huijui imani yake mkristo au mwislamu.
 
Mungu anisamehe mkosefu mimi. Amina.
 
Hongera, lakini ingetosha kusema tu watu wajiepushe na kumuasi mungu, maana yapo mengi ambayo mtu anaweza akayafanya yanayo mchukiza mungu sio zinaa pekeyake.
Mkuu una akili nyingi sana,maana kuna vijidada vinajifanya vilokole wakati tunavitia miti ya kutosha alaf vinakuja kuongopea hapa kwa kujifanya wema sana kwa kuleta maandiko😁😁😁 vinatia hasira yaan.

Unakuta mtu kaandika mstari huo alaf baadae kdogo tu anaitwa na mchepuko wake anaenda kutiwa miti 😁😁 inakera yaan
 

Kumbe ni wakorinto wamekuchoma eeeehπŸ’ŠπŸ’‰
Usichukie ila Jikaze uache maana hata Qur'an inakatazaπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ



Zinaa ni maasi makubwa na ni uchafu uliovuka mipaka, sawasawa ikiwa ndani ya ndoa au kabla ya ndoa.

Ψ§Ω„Ψ²Ω†Ψ§ Ω…Ω† ΩƒΨ¨Ψ§Ψ¦Ψ± Ψ§Ω„Ψ°Ω†ΩˆΨ¨ ΩˆΨ£Ψ΄Ψ―Ω‡Ψ§ فحشا، سواؑ Ψ£ΩƒΨ§Ω† ΩˆΩ‚ΩˆΨΉΩ‡ Ψ¨ΨΉΨ― Ψ§Ω„Ψ²ΩˆΨ§Ψ¬ Ψ£Ω… Ω‚Ψ¨Ω„Ω‡.



Mungu atusaidie sote
 
Sijui umeenda ku download wapi , hakuna aya hiyo katika Qur'an

Vp kwanza umeolewa 😊😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…