Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Wakuu,
Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.
Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unatuambia?? Unatutaarifu?? Au unatuzodoa??
[emoji23][emoji23][emoji23]Umempima ngoma? Kuna mwenzako kaopoa kutoka tinder baada ya kumpima ngoma imetiki akakimbilia Jf kuanzisha thread.
Haha unabonyeza relitu
Acha wee na umemwoa auKule nilipata mtoto bikra
Ulimtongoza au ulikutanaje nayeHata Mimi niliwahi pata demu Bora Badoo na utamu nilikula, alikuwa mkarim apendi ela, ingawa sijamuoa, kutokana na kuondoka maeneo Yale, ila hatujawahi kuachana, so cute . Badoo kutamu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una linkUmempima ngoma? Kuna mwenzako kaopoa kutoka tinder baada ya kumpima ngoma imetiki akakimbilia Jf kuanzisha thread.