Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Daby umenichekesha bablaiJaribu kuzoom avatar yake utaona uzito wake mzee baba.
Anonymous walishafanya yao na tegemea soon kutokea kudukuliwa tena kwasababu unaonekana huna uwezo wa kutunza siri ndio maanaSikua na hatia yoyote..according to wenye forum yao waliniambia nimetuma email nikiomba kufutiwa account.. Ikiwa sikufanya ivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea siri gani hapa?Anonymous walishafanya yao na tegemea soon kutokea kudukuliwa tena kwasababu unaonekana huna uwezo wa kutunza siri ndio maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana mpenziKwema humu???!
Baada ya kufutiwa account ya Yna4 hatimae nimerudi tena..siku mbili bila JF wallah homa ilikua yaninyemelea.
Ila kama kuna mtu aliamua kutengeneza email na kuwafuata mods kuwaambia wafute account yangu..yote kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo private......ila tu nahisi Huyo asiejulikana aliamua tu kufanya alichofanya
Una uhusiano gani na hyo avatari yakoYapo private......ila tu nahisi Huyo asiejulikana aliamua tu kufanya alichofanya
Sent using Jamii Forums mobile app