Hatimaye Nimevunja mwiko...!

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,064
Reaction score
354
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana alienipata kati ya wa3 waliokuwa wanatishia amani na elimu yangu na above all mkuu wa shule amenipa katempo mpaka nirudi chuo. UTU WANGU UMESITIRIKA NA ZAIDI STAF YOTE IMENISALUTE CUZ KILA MDADA ANAEKUJAGA HAPA LAZMA ALIWE ILA ME NIMEVUNJA MWIKO...! Idumu JF, zidumu fikra CHANYA ZA wana JF wote....!

he heee mpe hongera mkuu wa chuo lol
simba mwenda pole ndo mla nyama....
rudi sasa hapo uanze kazi..uje na thread nyingine lol

he heee mpe hongera mkuu wa chuo lol

simba mwenda pole ndo mla nyama....

rudi sasa hapo uanze kazi..uje na thread nyingine lol

nirudi wapi wakati cjaondoka? Nije na thread nyingne ya nini? Saa nyingine we ze bosi una.....

malipo ya hako katempo kutoka kwa mkuu wako inaweza kuwa between ze legz ambayo uliibana. Mh NWY, watch very.

Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke, ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Chukua tahadhari usije uka fall kwa mbwia unga. Siku ukija kugundua ndio mko kwenye honey moon

Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke, ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Chukua tahadhari usije uka fall kwa mbwia unga. Siku ukija kugundua ndio mko kwenye honey moon

haha Buji...

malipo ya hako katempo kutoka kwa mkuu wako inaweza kuwa between ze legz ambayo uliibana. Mh NWY, watch very.

Hata mimi naona kama vile kamtengo kanakaribia kunasa....Naamini atarudi hapa kutupatia mshindo nyuma (feedback)!!

malipo ya hako katempo kutoka kwa mkuu wako inaweza kuwa between ze legz ambayo uliibana. Mh NWY, watch very.

ameshindwa kupaingia kukiwa na kiangazi kwa sasa cdhani...ni mambo ya kujitambua tu fb

Angalia best maana kuna watu wana masafa ya mbali sana...ni kama draft tu...utaona unakula kumbe ni mtego mwisho wa siku wapigwa tutusa(waliwa kete 3).

hako ka tempo uliko[pewa ni long term plan hyo......................huh

Kusema kweli Sabry01 sijakupata kabisaa unataka kutupa ujumbe gani?

Akiliwa kwa hiari yaani kwa kupenda mwenyewe kuna ubaya gani? Sidhani kuwa yeye hataki mpenzi ila hakutaka wanaume wanaotumia cheo ili kumpata. Isitoshe sio lazima afukuzie hiyo ofa ya tempo aliyopewa. Anaweza kufanya kazi sehemu nyingine. Sababu ya kueleza kuhusu hiyo ofa ni kunyesha kuwa 'at least' alindoka kwa amani hapo shuleni. Nampongeza sana.

hebu tukumbushe ile mada yako uliotaka tukushauri na eleza kwa kifupi basi ulichukua uamuzi gani,

Hata mimi naona kama vile kamtengo kanakaribia kunasa....Naamini atarudi hapa kutupatia mshindo nyuma (feedback)!!
feed back ni mlisho wa nyuma kwa kiswahili sanifu nawala siyo mshindo nyuma kama ulivyoandika!!!!

I hope u'r nt falling into another trap.. Hongera lakini kwa kuyashinda majaribu.

Hongera sana kumshinda ibilisi kishawishi, ila hujavuka, kaza boot.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…