Tulizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 848
- 664
Hata mimi naona kama vile kamtengo kanakaribia kunasa....Naamini atarudi hapa kutupatia mshindo nyuma (feedback)!!
Duh! Mkuu huo msamiati ndiyo nausikia leo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naona kama vile kamtengo kanakaribia kunasa....Naamini atarudi hapa kutupatia mshindo nyuma (feedback)!!
<br />Mficha uchi hazai. Ili uwe mwanajamii lazma ujamiiane. We bana tu kitaota kutu.
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana alienipata kati ya wa3 waliokuwa wanatishia amani na elimu yangu na above all mkuu wa shule amenipa katempo mpaka nirudi chuo. UTU WANGU UMESITIRIKA NA ZAIDI STAF YOTE IMENISALUTE CUZ KILA MDADA ANAEKUJAGA HAPA LAZMA ALIWE ILA ME NIMEVUNJA MWIKO...! Idumu JF, zidumu fikra CHANYA ZA wana JF wote..
Waalichofanya wanaJF ni moja ya kazi zao.... so dont say thanks for ur right...............