Hatimaye nimezima AC ya chumbani

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kuanzia mwaka huu wa 41 wa Shinchonji uanze, hatimaye leo nimezima AC ya chumbani baada ya mvua kubwa kunyesha.

Mvua imeanza kunyesha muda wa saa kumi na moja na dakika saba, hadi sasa inachapa mvua kubwa.

Natamani niende nje nikiwa uchi wa mnyama nikarukeruke kwenye mvua kwa furaha.

 
Je, umeogopa isipige shoti ikafa au?
Hapana, hali ya hewa imekuwa nzuri mno.
Nadhani comment yako imetokana na kichwa cha habari na wala sio maudhui y ndani.
Ungesoma ndani ya habari usingeuliza swali lako.
 
Mkuu picha ya AC?

Ingependeza kama ulivyoweka picha ya mvua hapo
 
Tabia ya kutoka nje na boxer na kunyeshewa siwezi kuiacha hata iweje. Labda niwe naishi mazingira ambayo hayaruhusu.
 
Tabia ya kutoka nje na boxer na kunyeshewa siwezi kuiacha hata iweje. Labda niwe naishi mazingira ambayo hayaruhusu.
Nakumbuka siku moja nimetoka na kichupi kwenda kuruka ruka kwenye mvua, nikakutana na binti ,mtoto wa house girl wangu naye anaruka ruka uchi kwenye she is about 18-20.
Ikabaki siri yetu akarudi kwenye servant quarter yao nduki, na mimi nikarudi kimyaaa.
Hadi leo ni siri yetu
 
Lazima mlinyanduana, ndio maana imeendelea kuwa siri
 
Bange ya alfajiri ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…