Hatimaye nimezima AC ya chumbani

tunaoteseka leo ni tusio na magari πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€aaah mvua ikate bhana watu tuwahi vibaruani
 
Hukumla?
 
Hahahahahahaha, huwa natoka nje nikiwa na BOXER kukinga maji ya mvua .

Halafu huwa najisikia furaha hivi kunyeshewa na mvua, sasa nilikuwa sijui kama napenda kutoka hivyo sababu ya hako kakitu leo ndo NIMEGUNDUA kumbe kuna kilichojifichaaaa!!

Sasa kuanzia leo ikianza tu!! NIMO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…