Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

Hukawii kuripoti kuwa umefanyiwa hujuma kumbe
wewe ni mwalimu usiyeelimika; grrrrrrrrrrp!

Hivi hadi leo kiswahili bado KINAKUCHENGA...!?? kuna kashfa na zereu gani hapo wangu..!?
[/QUOTE]

Hahahahaaaaa...!!! mimi na wewe hatudhuriani, mimi na wewe kama masai na lubega...
 
Usijichekeshe tu hapa;
ujue umenikwaza kutoka moyoni;

Hahahahaaaaa...!!! mimi na wewe hatudhuriani, mimi na wewe kama masai na lubega...[/QUOTE]
 
Usijichekeshe tu hapa;
ujue umenikwaza kutoka moyoni;

Hahahahaaaaa...!!! mimi na wewe hatudhuriani, mimi na wewe kama masai na lubega...
[/QUOTE]

Sikukusudi wangu.... Naomba unisamehe bure
 
Atm wapi mtoto kakutana na miuno ya kihaya.. chezea katerero weye... pata picha ile sura ya nitonye kwenye gemu inakuwa "sirias" kiasi gani..!? mtoto aache kupagawa..!?

hapo sawa, lazima apagawe...
 
Hukawii kuripoti kuwa umefanyiwa hujuma kumbe
wewe ni mwalimu usiyeelimika; grrrrrrrrrrp!

Hivi hadi leo kiswahili bado KINAKUCHENGA...!?? kuna kashfa na zereu gani hapo wangu..!?
[/QUOTE]

Sasa ndo umenuna mazima!?
 

Angalau hapo umenena..... angetia huruma sana[/QUOTE]
kweli hukuwa na sifa ya kuwa mwenyekiti.....ndio maana una weweseka mpaka leo kupinduliwa kubaya
 

Wewe nakufehemu... una HURUMA sana...[/QUOTE]

kiswahili cha ota mbawa baada ya kupokomywa uenyekiti wa jukwaaa ha ha ah ah ah aha ha .....
 

sasa unaipata picha Baba V huu ndio unafki alokuwa akiufanya pindi akiwa M/KITI......
 
Last edited by a moderator:

sasa unaipata picha Baba V huu ndio unafki alokuwa akiufanya pindi akiwa M/KITI......
 
Last edited by a moderator:


Gotcha you!!!
 
Hujaona tu.. we acha kabisa. ...mie kubariki ndoa ya nitonye na Arabela watu waka ni em twente thirii...!! nisingekuwa ngangari tungekuwa tunaongea mengine.. BTW Miss you sana..

Daah pole sana....sasa imekuaje.....shwari?

Miss u too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…