Tatizo zubedayo_mchuzi alikuwa hajui ndoa ni nini.. wenzie wanahudumia wake zao yeye amekaa tu kujisifia mara ohoo nimetembea Kimara hadi kariakoo kwa miguu, mara naweza kupiga ngumi miambili kwa dakika... kuja kumaliza kuongea anakutana na talaka, huku na huku nitonye kaweka ngoma gambani, na jinsi alivyokuwa na ukame wa miaka kule machimboni kwake hakutaka kuremba. Kwa sasa zubedayo_mchuzi tumempeleka "darasani" pale mlipojifunzia wewe, Bishanga Mr Rocky na Vin Diesel .... yu no worram seingi......?? yuko kwa Mamndenyi anapata darsa la mapenzi. That is what went "right"..
kweli hukuwa na sifa ya kuwa mwenyekiti.....ndio maana una weweseka mpaka leo kupinduliwa kubaya[/QUOTE]Angalau hapo umenena..... angetia huruma sana
Aiseh! Uharibifu.
View attachment 110383
Kweli aisee, achana na 'POWER OF ATM' Inaweza kumfanya bi-harusi asilale kwa mumewe usiku wa kwanza baada ya harusi........!
Tatizo zubedayo_mchuzi alikuwa hajui ndoa ni nini.. wenzie wanahudumia wake zao yeye amekaa tu kujisifia mara ohoo nimetembea Kimara hadi kariakoo kwa miguu, mara naweza kupiga ngumi miambili kwa dakika... kuja kumaliza kuongea anakutana na talaka, huku na huku nitonye kaweka ngoma gambani, na jinsi alivyokuwa na ukame wa miaka kule machimboni kwake hakutaka kuremba. Kwa sasa zubedayo_mchuzi tumempeleka "darasani" pale mlipojifunzia wewe, Bishanga Mr Rocky na Vin Diesel .... yu no worram seingi......?? yuko kwa Mamndenyi anapata darsa la mapenzi. That is what went "right"..
Hahahahaaa...!!! umefufuka!? karibu sana mkuu...
Nimerudi mkuu....nakuja na natangaza nia hivi karibuni...wake wanne kwa mpigo
mama weeeeeeee!!!!!!!!!
we mchumba....ulipotelea wapi....
nikuulize wewe, ulipotelea wapi? Natamani nikuambie kitu lakini naogopa wambea wengi humu!

Umekuwa msemaji wa Vin Diesel siku hizi?