Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

hahahaaa... Basi tufichiane siri atii, nami yule prezidaa wangu mtarajiwa asije akajua kinachoendelea, sawa!!!![/QUO

usijali my dear! nna kifua sana!!! ila jemedari wako hawezi kukuacha kabisa!!! atapewa "tiba" na nani!!!!
 
Ndio maana msemo wa kupasha kiporo ukaletwa.....viporo na viheshimiwe...


ukute sasa kiporo ni cha wali wa kukaanga kisamvu cha karanga na maharage ya nazi na sosti mixer ya maini na figo.........!!!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh.. Ndo maana mie Chama na Mogella na mke wangu Paloma.. Hivi mwenyekiti ni nani vile maana ninasikia Baba V alipinduliwa mapinduzi ambayo mwenyewe aliyabariki..

we Baba V atakubali kung'oka uenyekiti kirahisi........,bado ye ndio anashikilia usukani

mapinduzi ya Erickb52 na mkewe chali.....,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…