Hatimaye Nitonye atangaza ndoa rasmi kwa Arabela

 
Last edited by a moderator:
my wii, mie waaala sitaki kifanyio mwenzio, kuna biznesi ninataka tufanye kwa rum kwake, inahitaji ziro distensi ili tuweze kufanikisha...... Si unajua mambo ya biashara haramu yanavyohitaji usiri?

mwe wii wangu bussiness kama hiyo nataka nijadiliane na prezidaa sijui ntaruhusiwa
 
Maisha lazima yaendeleee.....
Tukirudi kwenye mada....natarajia kuoa wake wanne kwa mpigo....nafasi zi wazi...ma ex hawaruhusiwi kuomba nafasi...kuna nafasi ya kupasha kiporo...watabanana hapo

Angalia usije ukakimbia na boxer mkononi, wanawake wanne utaishia kuchovya vidole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…