Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
narudia tena ruhusa yangu ya wewe kupeana na arif wako iko mikonon mwako
C6 wll be totally shockedAsk her this question....you will be amazed..
inabariki chakula na kuwafanya walaji washibe
na kuridhika ipasavyo...........,baba paroko ni muhim
Huu mtihani sasa...nitawezaje kumtoa mwanakondoo kipenzi changu araruliwe na mbwa mwitu?
Ibrahimu aliweza...mie nachagua kushindwa.....hehe
Nina imani Lady doctor kaelewa vyema...
C6 wll be totally shocked
yani ungejibu kivingine hakiyanani leo ungenikoma
umejibu nilivyokuwa nataka mimi...........,ur sooooo sweat
kaelewa sana,mpango wote eti wa kuahirisha safari umekatika
Brein konkasheni inamnyemelea.....
Simuoni hapa....au ndio anajifua
Sijakufikia wewe my Heaven on earth.....me love u big tiiiime
anataka aje kamili gado,vifaa ntote muhim abebe,mgonjwa si uko taaban
we kijana wewe,naomba usiendelee sana kuongea hivyo,kama hauna mpango
wa kuahirisha dozi ya Lady doctor siku ya leo
Ikiwezekana umuazime vifaa vyako vileee....
Yamekuwa hayo tena....
Eeh..ujiandae vyema maana bila dozi nene homa haitashuka kabsaaaaa
Utarudi kesho...si wajua tena unatakiwa ulale kuangalia hali ya mgonjwa.....
Baba paroko tena au ndio mambo ya kuombea chakula kabla hakijaanza kuliwa
Usiogope....tutaimba na kumsifu Bwana kwa shangwe,nderemo na vifijo....
ndio maana nakupenda sana wii wangu.............,:love: