Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
khu nini kimempata shemeji yangu jamani!!!!!!!!
Wala hatutakosa...maana muoaji ni mkwe wangu wa zamani...
hao watoto bado mna mpango wa kuongeza na wengine!!!!!!!!!!
hata sijui..ila tu sijakata tamaa bado
Wala hatutakosa...maana muoaji ni mkwe wangu wa zamani...
Hao wametajwa kwa uchache tu kuwakilisha wengine...ila kwa ujumla wapo hawa
WiseLady
Passion Lady, with her cuz Lady doctor
charminglady, with her cuz ladyfurahia
sweetlady
Bado watoto wa hiyari ambao ni beibe nasty na kinana pekee Davie S.M
uSIKATE TAMAA DADA ANGU,MIE MWENYEWE HUKU NILIKO BADO
NIKO BUSY KUMTAFUTA SHEMEJI YANGU
asante sana Heaven on earth kwa ukaribisho...
mi na wife wangu shansarie tutakuwepo hiyo siku...
mwalike na Kongosho pia...
hivi ni muda gani sasa umepita tangu shemeji mwananthropolojia alipotoweka
Khe mnaweza kuanzisha team ya mpira wa miguu kabisa........
na kuisajili kabisa........
........Wewe ukiwa wapi???????Ataendelea kukusaidia hadi upone kabisa
ohoooo...basi sawaa kila la kheri
ila erickb52 anagoma so itakuwaje???
Mwanaume wa kweli ana sifa zipi m/kiti?!Anaumwa presha, demu aliyekuwa anafukuzia kaolewa na mwanaume wa kweli..
hebu nipe sababu kubwa ya huyo mumeo kugoma....
Mbona mapingamizi mengi mara zubedayo_mchuzi mara Erickb52