Wala hatutakosa...maana muoaji ni mkwe wangu wa zamani...
Hao wametajwa kwa uchache tu kuwakilisha wengine...ila kwa ujumla wapo hawa
WiseLady
Passion Lady, with her cuz Lady doctor
charminglady, with her cuz ladyfurahia
sweetlady
Bado watoto wa hiyari ambao ni beibe nasty na kinana pekee Davie S.M
Heaven on earth hivi sikukuambia! pacha wa wii yako anabana sana....Kongosho nadhani ameshakusikia
Judgment na YNNAH tunapenda kuwaona hio siku
amu ingawa umepotea sana ila kwenye hii usikose
babu Asprin ni nani amekufungia kiasi hiki!!!!!!!
Ruttashobolwa na akanana wake Passion Lady msikose
baba kijacho sosoliso na mama kijacho Paloma ur warmly welcome Paloma kichefu chefu bado kinasumbua
Eli79 najua bado unamfatilia pacha wa my wii Lady doctor sijui harakati zimeishia wapi karibu sana!!!!!!
Ukaribisho bado unaendelea.....
Heaven on earth hivi sikukuambia! pacha wa wii yako anabana sana....
kama vipi nitatia timu peke yangu, naweza pata wa kutka nae huku huko..
Bishanga where are you watu tunataka kuanza kuweka booking mapemaaaaaa...
Nipo Johannesburg nafanya mipango yakurudisha Ndege ya Fastjet ambayo ilikuwa imeanza safari za Dar-Johannesburg hivyo ni ndege Kubwa nadhani ittosha ila naomba niwaambie kuwa mwisho wandege ni Mwanza nitamuomba Nicas Mtei atuandalie ndege ndogo awambie costal travel,tanzaniar, wasitishe kwa sikuhiyo shughuli zao kwani ndege hizo zimeishakodiwa!Pia tutamuomba Mzeewarula atusaidie logistic hiyo!Pia naomba huu ujumbe umfikie Arusha one nikwamba tunahitaji gari kumi za tours ili kupakia wageni kutoka Pale Bukoba Custom hadi kijijini!Pia mzee wa lidabokibini unaombwa kuhudhuria Asprin mengine mtafahamishwa ila mnaombwa kutokuja na Couples kwani kila kitu kiko huku!na endapo mmekutana huku kwa bahati mbaya potezeaneni!
Kongosho nadhani ameshakusikia
Judgment na YNNAH tunapenda kuwaona hio siku
amu ingawa umepotea sana ila kwenye hii usikose
babu Asprin ni nani amekufungia kiasi hiki!!!!!!!
Ruttashobolwa na akanana wake Passion Lady msikose
baba kijacho sosoliso na mama kijacho Paloma ur warmly welcome Paloma kichefu chefu bado kinasumbua
Eli79 najua bado unamfatilia pacha wa my wii Lady doctor sijui harakati zimeishia wapi karibu sana!!!!!!
Ukaribisho bado unaendelea.....
Vigelegele kwao nitonye na Arabela, mume wangu kipenzi watu8 hii harusi sio ya kukosa,wapi wanangu charminglady, sweetlady, ladyfurahia
pole sana Eli79 ila wewe usikose kuja tu
Eli79 mi na @gigganigga bond ni strong sanaKama vipi niwe mate wako, ama bado figganigga yupo kwenye picha?
Eli79 mi na figganigga bond ni strong sanaKama vipi niwe mate wako, ama bado figganigga yupo kwenye picha?
my wii Lady doctor na mumeo Arushaone ndoa hii si ya kukosa
kiwatengu and shansarie mnakaribishwa
Chocs and Erickb52 welcome
mimisa na mwananthropolojia karibuni sana sijui husband amepatikana
Kaizer na DEMBA uwepo wenu ni wa maana sana
ukaribisho bado unaendelea,sasa wenye vidum na viguduria muviwache huko huko
Kongosho nadhani ameshakusikia
Judgment na YNNAH tunapenda kuwaona hio siku
amu ingawa umepotea sana ila kwenye hii usikose
babu Asprin ni nani amekufungia kiasi hiki!!!!!!!
Ruttashobolwa na akanana wake Passion Lady msikose
baba kijacho sosoliso na mama kijacho Paloma ur warmly welcome Paloma kichefu chefu bado kinasumbua
Eli79 najua bado unamfatilia pacha wa my wii Lady doctor sijui harakati zimeishia wapi karibu sana!!!!!!
Ukaribisho bado unaendelea.....
Wala hatutakosa...maana muoaji ni mkwe wangu wa zamani...
Hao wametajwa kwa uchache tu kuwakilisha wengine...ila kwa ujumla wapo hawa
WiseLady
Passion Lady, with her cuz Lady doctor
charminglady, with her cuz ladyfurahia
sweetlady
Bado watoto wa hiyari ambao ni beibe nasty na kinana pekee Davie S.M
Eli79 mi na figganigga bond ni strong sana
Unataka kuwa msemaji au msema chochote??Ila utajulishwa hatuna haraka tunakula life na baby wangu Nivea
Najua atatoka huko anawaka vipi tiketi yako nikuletee??au utakuja chukua?nipo nampaka mwali na kumsugua kwa liwa kisha nampeleka kwa kungwi