Baba V hii inaitwa ni tungo simulizi;
ina maana haina ukweli ndani yake;[
QUOTE=Baba V;7228519]Tatizo
zubedayo_mchuzi alikuwa hajui ndoa ni nini.. wenzie wanahudumia wake zao yeye amekaa tu kujisifia mara ohoo nimetembea Kimara hadi kariakoo kwa miguu, mara naweza kupiga ngumi miambili kwa dakika... kuja kumaliza kuongea anakutana na talaka, huku na huku
nitonye kaweka ngoma gambani, na jinsi alivyokuwa na ukame wa miaka kule machimboni kwake hakutaka kuremba. Kwa sasa
zubedayo_mchuzi tumempeleka "darasani" pale mlipojifunzia wewe,
Bishanga Mr Rocky na
Vin Diesel .... yu no worram seingi......?? yuko kwa
Mamndenyi anapata darsa la mapenzi. That is what went "right"..