Niunganishe na uliyemuuzia nimpe 1 mil[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii gari 'ilinunuliwa' kimaajabu sana. 2012 muda nainunua Plan ilikua ni kuifanya gari ya abiria, lakini nilikuja gundua nimefanya 'panic purchase'.. But hatimaye leo nimeiuza sh laki 8. Ilikua inaziba tu uwanja. Gari ndefu kama 'limousine'.