Hatimaye Peugot 505 nimeiuza

Hatimaye Peugot 505 nimeiuza

Septem

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
313
Reaction score
404
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii gari 'ilinunuliwa' kimaajabu sana. 2012 muda nainunua Plan ilikua ni kuifanya gari ya abiria, lakini nilikuja gundua nimefanya 'panic purchase'.. But hatimaye leo nimeiuza sh laki 8. Ilikua inaziba tu uwanja. Gari ndefu kama 'limousine'.
 
Niunganishe na uliyemuuzia nimpe 1 mil
 
sasa ukisema gari kubwa kama limousine ulitaka iweje kama watengenezaji walilenga watu wenye familia kubwa ww ....mwenye makosa wewe kununua gari hujui unafanyia nn au liko designed kwa purpose gani
 
Back
Top Bottom