Hatimaye Polisi waliokuwa wanalinda Wasafi Media wameondoka

Hatimaye Polisi waliokuwa wanalinda Wasafi Media wameondoka

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale.

Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers...

Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa wanaotaka kuchoma Studio au Upande wa Wanaolinda Studio.

Sasa nimewapa Code.. Mtaa sasa hivi hauna hata mbwa
 
Najuzwa kuna wazee wa kazi walikuwa wanamsaka ni vile alishtuka.
 
Haya nenda kavamie ufanye ule wizi wenu, polisi wakufanyie mazoezi ya kupiga shabaha kwenye mwili wako kesho nyumbu wenzako waanze kubweka mitandaoni
 
Mtandaoni wanadai diamond alikimbia mpaka whitesands halafu akala fiber boat mpaka unguja ndio akapanda ndege mpaka kenya kwenda umangani
 
Back
Top Bottom