Huyu pia ni kada, kitendo cha kuurudisha uamuzi wa kura za siri au za wazi kupigiwa kura, kutainufaisha CCM!, hivyo hata kabla bunge rasmi la katiba halijaanza, mwisho wa siki ni serikali mbili!, tuzungumzie mengine!.HATIMAYE Prof. Costa Mahalu,
mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri
wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge
Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia wajumbe waamue wenyewe Unadhani hilo ndilo litakuwa suluhisho?..
source mwanach.
Usipokua Makini kipindi hiki unachanganywa sana,Hivi kwani ile Sheria imetafasiriwa Tayari ikaeleweka? Si tulisikia kua Sheria Haipo Wazi hivyo kuna utata juu ya Either Bunge la katiba lina Mamlaka ya Kubadili au Kuboresha tu Yaliyomo kwenye Rasimu ya Warioba?Huyu pia ni kada, kitendo cha kuurudisha uamuzi wa kura za siri au za wazi kupigiwa kura, kutainufaisha CCM!, hivyo hata kabla bunge rasmi la katiba halijaanza, mwisho wa siki ni serikali mbili!, tuzungumzie mengine!.
Pasco
Hivi kwa nini wasipige kura kuamua kura iweje...
Mijitu mizima inalumbana kama watoto...