HATIMAYE Prof. Costa Mahalu, mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri.......

HATIMAYE Prof. Costa Mahalu, mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri.......

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,034
Reaction score
6,571
HATIMAYE Prof. Costa Mahalu,
mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri
wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge
Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia wajumbe waamue wenyewe Unadhani hilo ndilo litakuwa suluhisho?..
source mwanach.
 
Hapo ni kura ya siri kuamja mstakari na utakuwa siri tu....wengi hata ndani wanapenda iwe siri......
 
Naona kaogopa yule jamaa aliyesimama nyuma na kumwangali kwa macho makali akikaza kura iwe ya wazi. Anajua wazi atawekwa kiti moto kwa kusaliti waliompa hisani ya kuwa mjumbe wa bunge la katiba. Basi ili lawama isimwangukie kaamua kutupa mpira kwa wajumbe wa bunge la katiba.
 
Inashangaza hawa jamaa na delaye tactics wanazotumia kuchelewesha kile kilichowapeleka Dodoma Kuogopa kura ya siri ni sawa na mtu Kuogopa kivuli chake mwenyewe,hivi kama waliona so kujadili jambo la katiba wangejifungia pale white house na waseme wanataka nini kuliko kuuhadaa ulimwengu kwamba katiba ni ya watanzania wote
 
HATIMAYE Prof. Costa Mahalu,
mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri
wa Kanuni zitakazoliongoza Bunge
Maalum la Katiba azungumzia mvutano wa wajumbe wa 'kura iwe wazi ama siri'.Asema, anawaachia wajumbe waamue wenyewe Unadhani hilo ndilo litakuwa suluhisho?..
source mwanach.
Huyu pia ni kada, kitendo cha kuurudisha uamuzi wa kura za siri au za wazi kupigiwa kura, kutainufaisha CCM!, hivyo hata kabla bunge rasmi la katiba halijaanza, mwisho wa siki ni serikali mbili!, tuzungumzie mengine!.
Pasco
 
siasa za tanzania mda mwingine ni zaidi ya komedi....
 
Hivi kwa nini wasipige kura kuamua kura iweje...
Mijitu mizima inalumbana kama watoto...
 
Huyu pia ni kada, kitendo cha kuurudisha uamuzi wa kura za siri au za wazi kupigiwa kura, kutainufaisha CCM!, hivyo hata kabla bunge rasmi la katiba halijaanza, mwisho wa siki ni serikali mbili!, tuzungumzie mengine!.
Pasco
Usipokua Makini kipindi hiki unachanganywa sana,Hivi kwani ile Sheria imetafasiriwa Tayari ikaeleweka? Si tulisikia kua Sheria Haipo Wazi hivyo kuna utata juu ya Either Bunge la katiba lina Mamlaka ya Kubadili au Kuboresha tu Yaliyomo kwenye Rasimu ya Warioba?
 
Ameonesha udhaifu na uvivu mkubwa kama gwiji wa sheria, alitakiwa atoe ushauri wa kisheria(Legal Opinion) aoneshe Faida na hasara ya kupiga kufa ya wazi na pia kura ya siri katika mtazamo wa kisheria (Legal Perspective), kisha atoke msimamo wake kuwa ipigwe kufa ya aina gani, ndipo awaachie Wajumbe kazi ya kuufuata ama kuukata ushauri wake. Hapo angekuwa amefanya kazi ya kulishauri Bunge vizuri lakini kuwarudishia kazi waliompa kazi ni uzembe na uvivu mkubwa jambo ambalo linanipa mashaka hata katika uwezo wake wa kufundisha sheria. Kuwarudishia wajumbe fupa lililo mshinda ni kurudisha vurugu kwa wajumbe na maana yote ya kukabidhiwa fupa hilo ili aweze kuwasaidia kulimung'unya imeondoka! Professor mzima unakuwa mwoga wa kutoa ushauri wa uprofesa wako inatia kinyaa
 
Huyu profesa ni mp-umba-vu kabisa,hana akili,uwoga wa nini?bora hakuchaguliwa kuwa m/kiti wa muda angeburunda kumbe. Binafsi nimemdharau sana.Hafai,mwenye no.yake ya simu anipe ili nimtwangie kumpasha.
 
Hivi kwa nini wasipige kura kuamua kura iweje...
Mijitu mizima inalumbana kama watoto...


Na hizo kura za kuamua upigaji kura uweje zitapigwaje kwa siri au kwa wazi?
 
Wangesema anaetaka apige ya siri na asiyetaka apige ya wazi tuu!! Kuwe na iption.
 
Back
Top Bottom