Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache....

Ukraine said several shells landed near a facility where radioactive material is stored, but no leaks were reported. Meanwhile, images show heavy damage at a Crimean air base. Follow DW for the latest.
Ukraine's Energoatom energy company said Russian shells struck the Zaporizhzhia nuclear power plant several times on Thursday, including near the site where radioactive materials are stored.

No injuries were reported and radiation levels remained normal, according to a company statement
The nuclear power facility is the largest of its kind in Europe, with six reactors. Any damage could pose a serious health and environmental hazard.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accused Russia of "unconcealed nuclear blackmail."
"Only the complete withdrawal of Russians from the territory of the Zaporizhzhia NPP and the restoration of Ukraine's full control over the situation around the plant will guarantee the restoration of nuclear safety for all of Europe," he said during his Thursday evening address.
Russian-installed local officials instead claimed Ukrainian forces had shelled the plant for the second time in one day, disrupting the shift changeover of power plant workers.
The Zaporizhzhia plant area was also hit by shelling last weekend, with each side trading blame.
The facility in Southern Ukraine on the Dnieper river has been under Russian control since the beginning of March. It is still run by its Ukrainian technicians.

Vita haina macho, ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo, jiepushe sana kuwachokoza vichaa
 
Ukitaka chakula kiive haraka kipike na moto mkali, ukitaka chakula kiwe kitamu kipike kwa moto mdogo.
Putin kachukua muda mrefu ili aiharubu kabisa Ukrain

Kaharibu wapi wakati licha ya hasara yote aliyoingia mpaka sasa ameambulia tumiji twa huko mipakani.....

Jameni mpate aibu

FMqS8-XWQAIlbG2
 
Kwani wao juzi, Ukraine si walishambulia kinu cha nyuklia ama?
 
Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache....

Ukraine said several shells landed near a facility where radioactive material is stored, but no leaks were reported. Meanwhile, images show heavy damage at a Crimean air base. Follow DW for the latest.
Ukraine's Energoatom energy company said Russian shells struck the Zaporizhzhia nuclear power plant several times on Thursday, including near the site where radioactive materials are stored.

No injuries were reported and radiation levels remained normal, according to a company statement
The nuclear power facility is the largest of its kind in Europe, with six reactors. Any damage could pose a serious health and environmental hazard.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accused Russia of "unconcealed nuclear blackmail."
"Only the complete withdrawal of Russians from the territory of the Zaporizhzhia NPP and the restoration of Ukraine's full control over the situation around the plant will guarantee the restoration of nuclear safety for all of Europe," he said during his Thursday evening address.
Russian-installed local officials instead claimed Ukrainian forces had shelled the plant for the second time in one day, disrupting the shift changeover of power plant workers.
The Zaporizhzhia plant area was also hit by shelling last weekend, with each side trading blame.
The facility in Southern Ukraine on the Dnieper river has been under Russian control since the beginning of March. It is still run by its Ukrainian technicians.

Hicho kibabu kimeshadata alivyotegemea imekua sivyo
 
Ni Ukraine ndo wanapiga hicho kinu baada ya kukata taamaa ya kukomboa miji yao ha ha ha ha ha ha Himars zimeshindwa kuikomboa kitu
 
MK254, naona umepania kufurahisha baraza, sio kwamba ujui ukweli - unajua sana,lakini basi tu.

Sasa turudi kwenye mada - hivi kwa akili za kawaida Urusi itanufahika vipi kushambulia nuclear plant ambayo wanasayansi na ma-engineer walikijenga huko Ukraine wakati we enzi za Soviet Union - kiwanda kile ni jasho la wataalamu kutoka Russian Federation, hivi sasa kiwanda hicho kinalindwa na majeshi ya Urusi kwa ajili ya .usalama wa Urusi, Ulaya na Dunia nzima - Putin ililazimika kuchukuwa hatua ya kukiwekea ulinzi kiwanda kutokana na ukigeu geu wa an erratic Zelensky - uwezi kujua kesho atafanya nini akipewa instruction kutoka kwa USA Administration, jamaa wanamtumia Zelensky kama robot wa kutekeleza matakwa yao ya kuihujumu/destroying Russia in totality kwa kupitia proxy war.

Biden na wapambe wake wako determined kweli kweli, na walivyo wapuuzi na mikatiri wako radhi hata ku-trigger even WW3 ili kitimiza malengo yao ya miaka mingi - jamaa hawa ni hatari kweli kweli,imani zao za keshetani kuhusu NWO wanataka wazitekeleze kinguvu kwa kupitia kwenye: vitisho,vita na kutengeneza virusi vya kuletea magonjwa watu - kwa bahati mbaya watu wengi hawajui tu hatari inayo jongea Dunia kutoka na umafia wa kundi hili ovu, ndilo linamshauri Zelensky ashambulie kiwanda cha Nuclear halafu watangazie Dunia kwamba Putin ni mtu hatari sana hasiye na UTU amepania kuleta madhara makubwa ya Nuclear fallout kuwadhuru binadamu wenzake Dunia nzima hivyo awekewe sanctions zaidi au majeshi ya NATO waishambulie Urusi proper - mipango ya kishetani kabisa.
 
Mkuu ukweli ni kwamba Russia wanatumia hiyo Nuclear Power Plant kama military base,wamejaza masilaha humo maroketi na mizinga wanalenga waUkraine wakijua kwamba Ukraine hawezi jibu kisa ni NPP,Ukraine ikijibu mashambulizi wanalalamika. Na kuna ushahidi wa video kabisa

Sasa Kati ya anaeanzisha mashambulizi na anayejibu ni nani anayetaka kuleta maafa ya nuclear?!
 
MK254, naona umepania kufurahisha baraza, sio kwamba ujui ukweli - unajua sana,lakini basi tu.

Sasa turudi kwenye mada - hivi kwa akili za kawaida Urusi itanufahika vipi kushambulia nuclear plant ambayo wanasayansi na ma-engineer walikijenga huko Ukraine wakati we enzi za Soviet Union - kiwanda kile ni jasho la wataalamu kutoka Russian Federation, hivi sasa kiwanda hicho kinalindwa na majeshi ya Urusi kwa ajili ya .usalama wa Urusi, Ulaya na Dunia nzima - Putin ililazimika kuchukuwa hatua ya kukiwekea ulinzi kiwanda kutokana na ukigeu geu wa an erratic Zelensky - uwezi kujua kesho atafanya nini akipewa instruction kutoka kwa USA Administration, jamaa wanamtumia Zelensky kama robot wa kutekeleza matakwa yao ya kuihujumu/destroying Russia in totality kwa kupitia proxy war.

Biden na wapambe wake wako determined kweli kweli, na walivyo wapuuzi na mikatiri wako radhi hata ku-trigger even WW3 ili kitimiza malengo yao ya miaka mingi - jamaa hawa ni hatari kweli kweli,imani zao za keshetani kuhusu NWO wanataka wazitekeleze kinguvu kwa kupitia kwenye: vitisho,vita na kutengeneza virusi vya kuletea magonjwa watu - kwa bahati mbaya watu wengi hawajui tu hatari inayo jongea Dunia kutoka na umafia wa kundi hili ovu, ndilo linamshauri Zelensky ashambulie kiwanda cha Nuclear halafu watangazie Dunia kwamba Putin ni mtu hatari sana hasiye na UTU amepania kuleta madhara makubwa ya Nuclear fallout kuwadhuru binadamu wenzake Dunia nzima hivyo awekewe sanctions zaidi au majeshi ya NATO waishambulie Urusi proper - mipango ya kishetani ka
Kumbe hivyo ndivyo wanavyopanga?
 
Back
Top Bottom