Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

Hivi wale wanajeshi WA Urusi walio zingirwa wamesha jisalimisha ama magasho mna tabu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mkuu umefanya Jambo jema kuulizia, kitambo sasa sijapata muendelezo wa hili tukio,
Si kwawajeda kutekwa wala Odesa kukombolewa!
 
Narudia Tena ni Israeli pekee ndie mwenye uwezo wa kupigana na nchi zaidi ya Nne Ndani ya Siku Sita.
hao walio baki wanaotaka kuivunja hii record watajuta.

asanteni kwa kunisikiliza.
 
Hii Vita ya urusi na Ukraine Ina vituko Sana,kuna wakati wanaingia mikataba,kuna wakati wanabembelezana ,kuna wakati wanaelekezana piga hapa hapa usipige,
 
Hii Vita ya urusi na Ukraine Ina vituko Sana,kuna wakati wanaingia mikataba,kuna wakati wanabembelezana ,kuna wakati wanaelekezana piga hapa hapa usipige,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ukweli ni kwamba Russia wanatumia hiyo Nuclear Power Plant kama military base,wamejaza masilaha humo maroketi na mizinga wanalenga waUkraine wakijua kwamba Ukraine hawezi jibu kisa ni NPP,Ukraine ikijibu mashambulizi wanalalamika. Na kuna ushahidi wa video kabisa




Sasa Kati ya anaeanzisha mashambulizi na anayejibu ni nani anayetaka kuleta maafa ya nuclear?!
Rejea kauli ya upotoshaji MK254 kuwa Russia ndo wanashambulia nuclear plant, wakati hiyo facility inashikiliwa na Urusi tangu wiki za mwanzo za OP. Hii ni sawa na kusema Russia wanajishambulia wao!!!
 
Putin kafeli anatafuta Kwa kutokea....akumbuke TU HIMARS zimeongezwa[emoji1787]
 
Back
Top Bottom