Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
mkuu umefanya Jambo jema kuulizia, kitambo sasa sijapata muendelezo wa hili tukio,Hivi wale wanajeshi WA Urusi walio zingirwa wamesha jisalimisha ama magasho mna tabu sana ππππππ
Kiujumla, kuchelewa kwa hii vita, kumekua na faida, kuliko ambavyo ingewahi kuyisha.Aliahidi vita ni wiki moja tu.
Israel ni mtoto kwa urusi.Narudia Tena ni Israeli pekee ndie mwenye uwezo wa kupigana na nchi zaidi ya Nne Ndani ya Siku Sita.
hao walio baki wanaotaka kuivunja hii record watajuta.
asanteni kwa kunisikiliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii Vita ya urusi na Ukraine Ina vituko Sana,kuna wakati wanaingia mikataba,kuna wakati wanabembelezana ,kuna wakati wanaelekezana piga hapa hapa usipige,
Rejea kauli ya upotoshaji MK254 kuwa Russia ndo wanashambulia nuclear plant, wakati hiyo facility inashikiliwa na Urusi tangu wiki za mwanzo za OP. Hii ni sawa na kusema Russia wanajishambulia wao!!!Mkuu ukweli ni kwamba Russia wanatumia hiyo Nuclear Power Plant kama military base,wamejaza masilaha humo maroketi na mizinga wanalenga waUkraine wakijua kwamba Ukraine hawezi jibu kisa ni NPP,Ukraine ikijibu mashambulizi wanalalamika. Na kuna ushahidi wa video kabisa
Sasa Kati ya anaeanzisha mashambulizi na anayejibu ni nani anayetaka kuleta maafa ya nuclear?!
Hivi Ukraine inashinda wapi Vita hiiPutin ameshapagawa,vita imeshamshinda,
Alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kumaliza vita ndani ya saa 72 [emoji12], matokeo yake imemkuta aibu,