Hatimaye Raia wa Liberia waukataa Upuuzi wa Rais wao Weah ambao ulitakwa pia Kuigwa na Wanasiasa Wengine wa Afrika

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office

Chanzo: Bloomberg Africa

Nimeamini kuwa Mwenyezi Mungu ana namna yake ya Kuwaokoa Watu wake katika HATARI aliyoiona ambayo kwa Macho yetu tuliopo duniani hatuwezi Kuiona.

Sina neno kwa Mungu zaidi ya Ahsante.
 
Nchi nyingine wanajua kukataa na hakizao wanazijua!! Kunanchi wanabururwa tuu saivi wanaambiwa katiba wasubiri wakati ilipaswa kuwa tayari!! Woga na ujinga nimzigo mzito unaoumiza
 
Kwa kweli Wana Liberia wana maono,mungu awabariki pole George Weah kwa ulevi wa madaraka.
 
Nchi nyingine wanajua kukataa na hakizao wanazijua!! Kunanchi wanabururwa tuu saivi wanaambiwa katiba wasubiri wakati ilipaswa kuwa tayari!! Woga na ujinga nimzigo mzito unaoumiza

Ila hiyo nchi hivi sasa Wananchi wake nawaona ni Waelewa kuliko ilivyozoeleka na kuna Jaribio moja jana tu wameweza Kulizima na Serikali yao imesalimu Amri.

Nimeisahau tu Jina la hiyo nchi Ndugu.
 
Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office

Chanzo: Bloomberg Africa

Nimeamini kuwa Mwenyezi Mungu ana namna yake ya Kuwaokoa Watu wake katika HATARI aliyoiona ambayo kwa Macho yetu tuliopo duniani hatuwezi Kuiona.

Sina neno kwa Mungu zaidi ya Ahsante.
1. Ungetudadavulia kidogo wameukataa upuuzi huo kwa njia gani; maandamano? Kura? Au wamemwambia kabisa kuwa "hatutaki upuuzi wako" na kisha akasarenda?

2. Hapa kwetu Tanzania, imetumika njia ya ajabu kidogo, yenye kuogofya lakini very effective....ni kwa aliyekuwa anataka kufanya upuuzi kupumzishwa moja kwa moja yaani kwa njia ya KIFO..

Oooh, wajameni hebu tuseme hivi. Sauti ya wengi na wenye haki, obviously huwa ni sauti ya Mungu. Kuipuuza na kutafuta kifo...!!

Acheni Mungu Yehova aitwe Mungu...
 
Siile nchi watuwake wanalilia bando kuliko wanavyodai katiba bora kwaustawi wa nchi yao au siyohiyo ndugu!!
 
Ila hiyo nchi hivi sasa Wananchi wake nawaona ni Waelewa kuliko ilivyozoeleka na kuna Jaribio moja jana tu wameweza Kulizima na Serikali yao imesalimu Amri.

Nimeisahau tu Jina la hiyo nchi Ndugu.
Jombaa idara yao ya usalama iko vizuri! Haswa kile kitengo cha propaganda ambacho kipo against na serikali..
 
Dah madaraka sijui yana ulevi wa design gani? Ingekuwa ni kitu tangible wanasayansi wangekifanyia uchunguzi wangundue ni cocktail gani inayowachanganya hawa viongozi wa Africa mpaka wanatamani kujimilikisha nchi miaka yao yote.

Na unaambiwa hakuna Rais ambaye alikubalika kwa Kupendwa na Walaiberia kama George Weah.

Ila kwa sasa ndiyo Rais anayeongoza kwa si tu Kuchukiwa bali Kuchokwa na Wananchi wake.

Imefika hatua hadi Walaiberia wamemkumbuka Rais wao Muuaji Charles Taylor. Ni Hatari Ndugu.
 
Ni hatari sana lakini hakuna kitu kinashinda nguvu ya wananchi.
 
Vyovyote walivyoukataa huo upumbavu ni sawa tu, jambo la msingi wamukataa ushenzi wake.
1. Ungetudadavulia kidogo wameukataa upuuzi huo kwa njia gani; maandamano? Kura? Au wamemwambia kabisa kuwa "hatutaki upuuzi wako" na kisha akasarenda?

2. Hapa kwetu Tanzania, imetumika njia ya ajabu kidogo, yenye kuogofya lakini very effective....ni kwa aliyekuwa anataka kufanya upuuzi kupumzishwa moja kwa moja yaani kwa njia ya KIFO..

Oooh, wajameni hebu tuseme hivi. Sauti ya wengi na wenye haki, obviously huwa ni sauti ya Mungu. Kuipuuza na kutafuta kifo...!!

Acheni Mungu Yehova aitwe Mungu...
 
Ukiingia kwa kupendwa sana madarakani, angalia usivuruge, unaweza ishia kuchukiwa kuliko kipimo chochote

Ni sahihi Ndugu kwani hata Mimi kuna Mwanasiasa Mmoja Afrika nilimpenda mwanzoni kwa Kumuamini, ila mpaka ameenda ghafla Sebuleni kwa Sir God nilikuwa si tu nimemchoka bali hadi Kumchukia pia.

Nchi anayotoka nimeisahau tu ghafla.
 
Liberians rejected a referendum backed by President George Weah to curb the length of presidential terms — a vote that could have helped the former soccer star extend his stay in office

Chanzo: Bloomberg Africa

Nimeamini kuwa Mwenyezi Mungu ana namna yake ya Kuwaokoa Watu wake katika HATARI aliyoiona ambayo kwa Macho yetu tuliopo duniani hatuwezi Kuiona.

Sina neno kwa Mungu zaidi ya Ahsante.
Mungu fundi kweli kweli
 
Back
Top Bottom