Unautani naye eee! Nakuitia wale wauseremala wa taifa?
Woga ndio dhambi mbaya hapa duniani - LemaNaogopa patasi mie,nayapenda meno yangu
kajiunga humu kupitia shonza, mwampamba, Lukosi, Zemacorpo et elAmejiunga leo na username yake ni Prof. Dr. His Excellency, Hon. Alhaj Baba MwanaAsha! Mkaribisheni basi Lol
Amejiunga leo na username yake ni Prof. Dr. His Excellency, Hon. Alhaj Baba MwanaAsha! Mkaribisheni basi Lol
Unautani naye eee! Nakuitia wale wauseremala wa taifa?
Duuh! Nitageuzwa cardinal kivipi?