Hatimaye rais Kikwete ajiunga na JamiiForum !

Naogopa patasi mie,nayapenda meno yangu
 
akya mungu kanichekesha uyu, ah ah ah wabongo bhana kwa utani, v interesting

naamini hata team ya usalama wa taifa na JMK mwenyewe mbavu zmewauma kwa kicheko.
 
Punguza kicheko mkuu !
 
Kweli umeniacha hoi na sijui umepata wap ilo wazo hahahaha duu we kichwa sana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom