2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Katoka ma RC ambao wanapenda kukurupuka ni Makonda na Gambo. Wanajitahidi kufanya mazuri pia lakini wanahitaji wakati mwingine kusubiri na kufikiri kwanza kabla ya maamuzi.
Baada ya picha za ubovu wa barabara ya Ngorongoro kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huyu mkurupukaji alikuja na kudai wote waliohusika watakamatwa na kuwekwa ndani eti sababu walichofanya sio uzalendo?
Sa jiulize uzalendo ni nini?
Serikali imeingilia kati na sasa baadhi ya njia zimefungwa na zitakarabatiwa ili ziweze kupitika nani mzalendo na nani sio mzalendo? Alietoa taarifa ya ubovu ili iboreshwe au yule alificha ubovu ili ibaki hivyo hivyo?
Hii nchi ni kichekesho sana ukipost Daraja la kigamboni ni sawa ila ukipost ubovu bombadia mbovu si sawa😁😁