Hatimaye Ripoti ya Intelijensia ya Marekani kuhusu kuuawa kwa Khashoggi yatolewa, MBS atajwa kuhusika

Upo sahihi, America ndio mlinzi wa Mecca & Medina , mshirika muhimu sana kwa Saudi Arabia, na Saudi inamuhitaji zaidi US kuliko the opposite. ,Lakini administration mpya pale Washington haimtaki MBS baada ya kugundua akili yake haina utulivu. ....US inaongea kwa vitendo kwamba "tupo pamoja " isipokuwa huyu dogo hatumtaki.
 
OK... Nimekupata huu mchezo U.S.A aliufanya Vietnam miaka ile ya vita kwa kumng'o general mmoja kwa janja janja kama hii naye kichwa chake kilikuwa kama cha Mbs
 
Money makes world go round

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Haipingiki ni kweli mwanamfalme alihusika moja kwa moja,kumnyamazisha khashoggi,ili kuulinda ufalme na familia ya kifalme.Na malekani Hana mpango wowote dhidi ya Saudi Arabia,Kwanza Saudi na marekani ni maswahiba wa muda mrefu.ila Sasa utofauti wa Trump na biden,ndio umewaweka Saudi Arabia kitimoto.biden amefanya makusudi ili kumpa warning Trump na figisu zake dhidi yake (rais biden),kumbuka Trump sio kwamba ame retreat kwa biden hapana !ame step out whathouse lakini bado anaharakati za chini kwa chini kumharibia biden.Hii ni warning kwa Trump ,akae mbali na biden na aache mpango wake wa figisu za chini kwa chini dhidi ya biden,na ikiwa Trump hatashtuka na hii warning aliyopewa na biden,Basi tutegemee riport zingine ambazo zilifichwa hazikuwekwa wazi na Trump,ambazo kimsingi hazina madhara kwa marekani lakini zinamadhara kwa Trump na chama chake.
 
Kwani hivi ni ufalame au uongozi gani utakaokubali kufanyiwa uhaini?
Mbona wengi tu wanarestishwa lakini hatuskii sauti? Hapa kuna maslahi ya wazungu ndio maana, ukweli ni kwamba adhabu ya uhaini ni kifo popote pale duniani tena kwa style yeyote muhimu kibaraka aondoke tu
Big up mbs
 
Democratic huwa wanajitahidi sana katika suala la UTU na UBINADAMU.
 
Money makes world go roundView attachment 1712991

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Yes, but not necessarily as it has been portrayed by NYT, na sio lazima action iwe overnight kwa kurupuka, lakini ukisoma picha kubwa unaweza gundua this administration has taken different approach to the previous one on dealing with MBS & KSA
 
Yes, but not necessarily as it has been portrayed by NYT, na sio lazima action iwe overnight kwa kurupuka, lakini ukisoma picha kubwa unaweza gundua this administration has taken different approach to the previous one on dealing with MBS & KSA
Statement aliyotoa Biden wakati wa kampeni



Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana Biden hatamaliza miaka 4

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kila kitu kilikuwa wazi kuhusika kwake je illitaji intelogencia yoyote au ndo matumizi Mabaya ya resilimali fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…