Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
December 08,2022.
Mchezaji kikapu raia wa Marekani Brittney Griner aliyekuwa ameshikiliwa nchini Russia tangu mwanzoni mwa mwaka huu ameachiliwa huru Leo.
Mchezaji huyo alihukumiwa kifungo cha miaka 9 jela kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya.
Kuachiliwa kwake kumetokana na kubadilisha wafungwa kati na Urusi na Marekani ambapo Griner amebadishwa na Victor Bout muuzaji Silaha wa Kirusi aliyekuwa amefungwa nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 12.
Mabadilishano hayo yalifanyika leo katika Uwanja wa Ndege huko Abu dhabi baada ya miezi kadhaa ya mvutano baina ya nchi hizo mbili juu ya kushikiliwa wa Mchezaji huyo.