Hatimaye Russia yamwachilia huru mcheza kikapu wa Marekani Brittney Griner

Kweli Dingi. Mpaka wapate haki zao, Inabidi waiingie huko. ,... Vvu ,Mimba COVID 19, Ebola,nk. Vinawakabili. Not Ukombozi wa Mwafrika kutoka Kwa mzungu, vikwazo kibao.
 
Nimepitia machache kumuhusu huyu bidada .,ila hawa wahamasishaji wa mambo ya ushoga n watu wa ovyo sana... na nimeskia leo biden kasaini sheria inayohalalisha ndoa za jinsia moja..
 
Huyu Dada ni Shoga Msagaji kumbe. Alikuwa na ameoa Mchezaji mwenzake ila yasemekana walipeana talaka. Mwenzake aliamua kubeba Mimba Kwa IVF na kujipatia Watoto mapacha wa kike. Dada Beautiful lakini keshaLeft Group. Ingewezekana wakamuweka Selo za Wanaume bcoz amejipa Majukumu Yao.
 
Possibly huyu jamaa ni CIA kucheza basketball ni kofia tu ila ni undercover agent muandamizi kama ilivyo Naomi Campbell au Angelina Jolie walimstukia mapema

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Nami nimejiuliza mpaka wamebadilishana mfungwa akarudishwa kwao Russia hivi hivi tu kisa mcheza basket loo
 
OK,kumbe walishaachana?Kwahio Huyo mwenzake aliolewa na Msagaji tena au ilikuwaje?
 
Nimepitia machache kumuhusu huyu bidada .,ila hawa wahamasishaji wa mambo ya ushoga n watu wa ovyo sana... na nimeskia leo biden kasaini sheria inayohalalisha ndoa za jinsia moja..
Mkuu huko wenzetu mwendo walishaumaliza,ni wa kuachana nao tu,chamsingi wasituletee huku huo ushetani wao kwa kulazimisha
 
tanzania hata balozi wetu kutetea raia wake hawezi!.

kuna siku watanzania walikuwa wanaponda balozi ya tanzania south africa yani mtu kaja kuomba msaada kaonewa eti balozi ana muuliza ulikuja kufata nini nchi za watu.
kweli tumerogwa
 
hahahha balozi ndezi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…