Hatimaye Sekta ya Michezo na Habari Yapata Mchapakazi

Mndengereko One

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
340
Reaction score
243
tumempata mzee wa bao la mkono furaha ilioje wapinzani wajiandae na maumivu ya magoli ya mkono tunaanza na chad
 
Uteuzi wa Nape kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii umepokewa kwa mikono miwili wadau wa sekta husika kutokana na ushiriki wa Ndugu Nape kwenye tasnia hizo. Nape aliye na ufahamu na ujuzi mkubwa wa sekta ya utamaduni, michezo na usanii kutoka kwa mzazi wake atakuwa ni mhimili mkubwa wa maendeleo ya michezo nchini. Wadau wa tasnia hii ni wakati wa kutumia uwepo wa Nape katika wizara hii kuboresha ushiriki wa Tanzania kimataifa. Tumuombee Nape aweze kutimiza majukumu yake kikamilifu!!
 
Ushindi kwa taifa star umepata ufumbuzi.

Ni mwendo wa magoli ya mkono tuu
 
Bado sekta ya michezo ina safari ndeefu sana chini ya serikali ya ccm..walikuwepo kina mkamia kabla yake
cc D.Corleone
 
Ni kweli make mbinu za ushindi zitakuepo hata kwa bao la mkono taifa stars watafuzu kombe la dunia 2018.
 
Nzi lake jalala tu,hata ukimweka kwenye sufuria lililosheheni pilau na biriani.Naona taswira ya Taifa kufa kimichezo.Tumefeli hata kabla hatujaanza.
 
Hivi kumbe Nape ni mchapakazi???

Mi najua yule ni mropokaji tu#
 
Sidhani kama atakuwa na mchango wa maana.Kijana ana sifa za uropokaji tu kuongoza wizara kunahitaji ujuzi,maarifa,uwezo na ubunifu vitu ambavyo Nape kavikosa kabisa.
 
Haha 😀 Waziri wa Michezo ana Kitambi..

Maneno kama haya yalimuingiza Jei kei ikulu..Ooh Mpenda Michezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…